1
E’ MTOTO, yainue Macho yako mbinguni! Bwana Yesu huko juu, Kwa upendo akuone.
2
Ukiomba asikia, Akulinda mashakani; Na anakuandalia Kao zuri huko kwake.
3
Penda Yesu, mfuate, Tii Neno lake pia! Tena malaika wake Watakuchukua kwake.