1
Ne-ema, neno tamu kwa masikio yangu, Ni wimbo wa mbinguni ju-u, dunia isikie.
Kiitikio
Nimeokolewa na ne-ema pekee; Yesu Kristo alikufa kwami na watu wote.
2
Kwa neema jina langu lina-andikwa mbingu, Na neema ilinipeleka karibu naye Yesu.
3
Kwa neema njia yako ni wazi mbele yangu; Ninapokea kwa ne-ema ninayoyahitaji.
4
Kwa neema ninaweza kuomba Mungu Baba; Ni neema inayonichunga mupaka saa ya kufa.
5
Uache neema yako kuniendesha mbele, Unipe neema kujitoa kwawe, Mwokozi wangu.
