1
Tunazikwa kwa kaburi la Mwokozi Yesu Bwana; Mungu anatuhesabu kuwa wafu kwa makosa.
2
Kufa na hukumu vile haziwezi kutugusa; Bwana alibeba yote, nguvu yao amemaliza.
3
Yesu alifufuliwa toka wafu, yeye kwanza; Nasi tumeumbwa tena, sisi ni wahuru sasa.
4
Ubatizo tunapa, sura ya mauti yake ; Na tunafufuka naye, ndani yake tunakaa.
5
Tunangoja ukombozi wa mi-ili yetu vile ; Atatugeuza pia kufanana naye Yesu.
6
Bwana, sasa tunataka kushiriki haya yako; Mungu atatupokea, kwani tuko ndani yako.
