1
Kukufikili wewe, Yesu, iko kutamu kwangu; Zaidi kukuona wewe, na kupumzika kwako.
2
Hakuna jina tamu sana kuliko lako, Yesu; Inatushinda kufahamu uziri wako wote.
3
Taraja kwa wenye kutubu na wenye kuanguka, Unawahurumia wote wanaokutafuta.
4
Inatushinda kueleza mapendo yako, Bwana; Na ni wapenzi wako tu wanaoyafahamu.
5
Wewe furaha yetu pekee na taji yetu vile, Na utukufu wetu, Bwana, sasa na kwa milele.
