1
Yesu unitazamishe musalaba wako, Nisikusahau wewe na mauti yako.
Kiitikio
Musabala wako, Bwana, ni taraja yangu Hata nitakapokwenda kupumzika kwako.
2
Nilitetemeka pale, mimi mwenye zambi ; Kwa mapendo na rehema ulinipokea.
3
Yesu, unilinde huko, unifahamishe Jinsi ulivyochukua zambi zangu zote.
4
Nitangoja na taraja na imani vile Hata nitakapokwenda kwako kwa milele.
