1
Hata tangu zamani (3), tuna Neno lake Yesu.
Kiitikio
Neno lake ni kweli (3), Neno lake Bwana Yesu.
2
Alitoka mbinguni (3), kwa kutuokoa wote.
3
Yeye mutakatifu (3), ndiye Mwana wake Mungu.
4
Alikufa kwa zambi (3), hata zambi zetu zote.
5
Alitoka kaburi (3), naye alishinda kufa.
6
Alikwenda mbinguni (3), kwa kutengeneza pa’li.
7
Atarudi upesi (3), kwa kutupeleka kwake.
8
Mungu atapokea (3), wenye kumwamini Yesu.
