BWANA YESU ATAKUJA

1

Bwana Yesu atakuja kutoka mbinguni, Atawachukua wote wanaomwamini.

Kiitikio

Kama nyota za mbingu watu wote wa Mungu Watanga-a kwa Yesu Mwokozi milele.

2

Atawakusanya wote wanaomupenda, Watakuwa mali yake milele mbinguni.

3

Na watoto watakuwa pamoja na Yesu, Watanga-a kama nyota nyumbani mwa Baba.