1
Panda mbegu njema, anza asubui, Omba Mungu sana kubariki kazi. Kwa wakati wake utakwenda vile Na kuvuna mbegu na furaha tele.
Kiitikio
:: Twende kwa mavuno, twende kwa mavuno, Kwa furaha kubwa twende kwa mavuno ::
2
Panda mbegu njema ju-u ya milima, Na tuendele-e hata mabondeni! Neno lake Mungu litawafungua Watu wa makosa kwa furaha kubwa.
3
Panda mbegu njema hata kwa machozi, Ukumbuke Yesu, leo uhubiri! Bwana wetu Yesu atakuja tena Na zawabu yetu kwa furaha kubwa.
