KUTUMIKA KAZI KWA MWOKOZI

1

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu kunaniletea shangwe; Roho yangu inapata kufurahi kutumika kazi yake.

Kiitikio

Kutumika kazi yake ninaleta vitu vyote; Ninapata shangwe nyingi kutumika kazi yake.

2

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu kunaniletea shangwe; Nitaimba hata kati ya huzuni, kutumika kazi yake

3

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu kunaniletea shangwe; Kila siku Yesu ananiongoza kutumika kazi yake.

4

Kutumika kazi kwa Mwokozi Yesu kunaniletea shangwe; Ninaleta vitu vyangu vyote kwake kutumika kazi yake.