1
Tumepata neno zuri : Yesu alituokoa ! Tulipashe kwa dunia : Yesu alituokoa ! Linapaswa kusikiwa na wakubwa na watoto, Ni habari za furaha : Yesu alituokoa !
2
Tuna hamu ya kuimba : Yesu alituokoa ! Ni uzima kwa waovu : Yesu alituokoa ! Kweli alitufungua, alivunja munyororo, Sisi mali yake sasa : Yesu alituokoa !
3
Neno kubwa la makubwa : Yesu alituokoa ! Linashinda na zaidi : Yesu alituokoa ! Sema niki-ishi hai, hata nitakapokufa, Ninataka kusikia : Yesu alituokoa !
4
Tutangaze neno hili : Yesu alituokoa ! Kila mutu asikie : Yesu alituokoa ! Inchi zote zifurahi, watu wote wa-amini, Na waimbe na kusifu : Yesu alituokoa !
